NDUGU ZANGU LYRICS

 

 

Ndugu Zangu

 

Verse

Habarigani rafiki yangu (habari), familia yako namunagani.

Familia yangu ninzuri (wako salama) lakini siko salama.

Eei Dunia yachuki, fitina namatatiso

Sawa zingine unaliya, wakati kuna ugumu

Hakuna marafiki yako (awo wasaliti) watakuwa pamoja nawewe

Wakati unafanikiwa hehe wengi watakuja.

 

Chorus

            Ndugu zangu, dada zangu tunawaomba tushikane pamoja.

           Tuishi pamoja tushikane kama familia x2

 

Verse

          How are you my friend (how do u do) how is your family.

          My family is good (very well) but am not well.

          This world of hate, problems and hypocrites.

          Sometimes you weep, cry where there is hardship.

         But none of your  friends (those hypocrites) will be on your side.

        But when you celebrate hehe many people will come.

 

Chorus

           My brothers and sisters we urge you, to unity and get together.

           Let us be together united as one family.x2

 

BREAK

 

Verse

         Wakati tunaongea kushikana tunamanisha tuwe kitu kimoja

         Tujali wetu wengine, kwaroho safi  tufikirie binadamu

         Kwajili mungu alituwumba kwa nfano wake,  yeye mwenyewe.

        Kama wewe mwewusi, mwewupe, sisi niwatoto wake mungu.

 

Chorus

          

  Ndugu zangu, dada zangu tunawaomba tushikane pamoja.

           Tuishi pamoja tushikane kama familia

Till fed