ndugu zangu
Verse
Habarigani rafic yangu (Habari) Familiar yako namnagani
Familiar yangu ninzuri (wako salama) lakini siko salama.
Eei Dunia yachuki, fitina namatatiso
Sawa zingine una liya, wakati kuna ugumu
Hakuna marafiki yako (Awo wasaliti) watakuwa pamoja nawewe
Wakati unafanikiwa hehe wengi watakuja.
Chorus
Ndugu zangu, dada zangu Tunawa omba tushikane pamoja
Tuyishi pamoja tushikane kama familiar x2
Verse
How are you my friend (how do u do?) how is your family.
My family is good (very well) but am not well.
This world of hate, problems and hypocrites.
Sometimes you weep, cry where there is hardship.
But none of your friends (Those hypocrites) will be on your side.
But when you celebrate hehe many will come.
Chorus
My brothers and sisters we urge you, to unity and get together.
Let us be together united as one family.x2
Bridge
Verse
Wakati tuna ongeya kushikana tuna manisha tuwe kitu kimoja.
Tujali wetu wengine, kwaroho safi tufikiriye binadamu.
Kwajili mungu alituwumba kwa nfano wake, yeye mwenyewe.
Kama wewe mwewusi, mwewupe, sisi niwatoto wake mungu.
Chorus
Ndugu zangu dada zangu Tunawa omba tushikane pamoja
Tuyishi pamoja tushikane kama familiar x2
Till fed
Tags: Rob Prophet, Black Prophets Music Records, Reggae Music
